Civil Engineer/Technician Ukitaka Kufanya Kazi na Mkandarasi Yoyote, Lazima Uwe na Hivi Vitu Vitatu!

Miongoni Mwa Changamoto Kubwa Ambayo Imetokea Kuripotiwa Kwenye Kwenye Soko la Ajira (Tanzania) Miaka ya Hivi Karibuni Ni: UKOSEFU WA UJUZI WA KAZI UNAOHITAJIKA KAZINI (SKILLS MISMATCH).

.
Kuna Changamoto Kubwa ya Mlinganisho Kati ya Ujuzi wa Vijana waliopata Elimu na Mahitaji Halisi ya Soko la Ajira. Mara Nyingi, Vijana Wanahitimu na Ujuzi Ambao Hauendani na Mahitaji ya Waajiri, Jambo Ambalo Linaleta Changamoto Katika Kuajiriwa. Ukosefu Huu wa Ujuzi Unafanya Vijana Kuwa na Wakati Mgumu Kupata Ajira Zinazolingana na Elimu Yao, na Hivyo inawalazimu Kujihusisha na Kazi za Chini au Zile Ambazo Hazilingani na Kiwango Chao cha Elimu.
.
Bofya Link Kujifunza Mpaka Mpaka Mwisho:

.
Ukweli ni kwamba, wakandarasi hawatazami cheti chako, wanatazama kama unaweza kufanya kazi. Kwenye Link Hapo Chini Nimeaanda Makala Full yenye Kukueleza Aina ya Civil Engineer au Technician Ambaye Kila Mkandarasi Anapenda Kumuajiri.
.
Bofya Link Kujifunza Mpaka Mpaka Mwisho:

Previous Post Next Post

Contact Form